RAIS Dk. John
Magufuli, ametoa zawadi ya vyakulakwa watu walio katika
makundi maalum wakiwemo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi,watu
wenye ulemavu pamoja na wazee. 
Amesema Rais Magufuli ametoa zawadi ya mbuzi na mafuta ya kupikia zenye thamani ya Sh milioni 8.475.
Chapisha Maoni